Mashindano ya kuhifadhi Qur'aan msikiti wa Ijumaa Mahonda


 Mmoja katika wanafunzi walioshiriki mashindano ya kuhifadhi Qur'aan juzuu 30

 Mwenyekiti wa kamati ya Tahfidhul Qur'aan Maalim Sule akitoa nasaha zake wakati wa mashindano ya kuhifadhi Qur'aan yaliyofanyika  Msikiti wa Ijumaa, Mahonda.
 Waumini wa dini ya kiislamu waliohudhuria mashindano ya kuhifadhi Qur'aan MahondaMiongoni mwa wanafunzi walishiriki katika mashindano ya kuhifadhi Qur'aan wakisubiri muda wao kwenda kutahiniwa


Mshindi ni AbdulSwamad Abdallah Ali kutoka zanzibar amepata asilimia 100% akikabidhiwa zawadi yake na Al Akh Mohammed Suleiman

Picha kwa hisani ya V Achudi kupitia ukurasa wa Facebook

No comments:

Post a Comment