Ray C ni staa wa muziki TZ ambae aliamua kuachana na matumizi ya dawa za kulevya… leo katika Ukurasa wake wa Instagram na kupost video tatu… analalamika kwamba yuko Hospitali na amekosa dawa.
“Nashindwa
kuvumilia, niko hapa kitengo cha madawa. Mpaka sasa hivi sijapewa dawa,
kwa sababu nilipost ile post nyingine wananifanyia kama makusudi..
Nikikosa dawa wanataka nirudi kuvuta unga?“>>>–@rayc1982
Wana
maamuzi yao lakini unakuta mtu umechelewa kama mimi natoka Bunju kila
siku lazima niweke mafuta ya elfu 30 unawaambia nina tatizo bado ukifika
unaambiwa imekuwa kama shule“>>> –@rayc1982
Ile dawa inauma.. Mwili unauma nasikia baridi mifupa inauma.. alafu wanajua lakini wanatunyima“>>>–@rayc1982
Post a Comment