SHIDA! Baada ya ndoa yao kuvunjika, msanii mkongwe
wa filamu, Salome Urassa ‘Thea’ amefunguka na kumbariki aliyekuwa mume
wake, Michael Sangu ‘Mike’ kuoa kwani hana pingamizi.
Baada ya kumsikiliza mwanamama huyo, paparazi wetu alimtafuta Mike ambaye alisema; “Kutokana na Thea kuongea maneno ya kashfa na kudai kwamba hanijui, niko kwenye mazungumzo na familia na mke wangu wa kwanza, Ummy Mohamed ambaye tuna mtoto mmoja hivyo kama mambo yakienda vizuri nitamrudia kwani namuona ni bora zaidi.”
Msanii mkongwe wa filamu, Salome Urassa ‘Thea’.
Akipiga Thea alisema katika akili yake
hana kumbukumbu kama aliwahi kuolewa na mwanaume huyo (ukweli walifunga
ndoa 2010) na hataki kumzungumzia ila kama anataka kuoa aoe kwani hana
shida naye na hana malalamiko yoyote.Baada ya kumsikiliza mwanamama huyo, paparazi wetu alimtafuta Mike ambaye alisema; “Kutokana na Thea kuongea maneno ya kashfa na kudai kwamba hanijui, niko kwenye mazungumzo na familia na mke wangu wa kwanza, Ummy Mohamed ambaye tuna mtoto mmoja hivyo kama mambo yakienda vizuri nitamrudia kwani namuona ni bora zaidi.”
إرسال تعليق