Umeona Arsenal walivyotambulisha Jezi zao mpya? Unaambiwa MC alikuwa Thierry Henry.. (PICHAZ)


heny2

Maandalizi ya zile pilikapilika za Ligi mbalimbali Ulaya yanaendelea, kwenye Klabu kuna mengi yanafanyika ikiwemo kubadili Jezi zao na kuzitangaza.
Arsenal wameingia kwenye Headlines nao baada ya kuzindua Jezi zao mpya watakazozitumia msimu wa 2015/16… Uzinduzi umefanyika kwenye Uwanja wao wa nyumbani wa Emirates, London na MC alikuwa striker wa zamani wa Klabu hiyo, Thierry Henry.
heny
Fans wa Klabu hiyo nao walipata nafasi ya kushuhudia tukio hilo jingine kubwa la Kihistoria.
heny2
heny3
heny4
heny5
Add caption
heny9
heny8
heny7
heny10
11

Post a Comment

أحدث أقدم