
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano
wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe akiwapungia
mkono wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), na wananchi waliofika
kumpokea nje ya Ofisi ya CCM Mkoa wa Mbeya jana, baada ya kuwasili
mkoani humo kwa ajili ya kutafuta wadhamini watakaotia saini fomu zake
za kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama hicho,
ambapo aliweza kupata wadhamini zaidi ya 877.

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano
wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe (katikati)
akilakiwa na umati wa wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), na
wananchi waliofika kumpokea nje ya Ofisi ya CCM Mkoa wa Mbeya jana,
baada ya kuwasili mkoani humo kwa ajili ya kutafuta wadhamini watakaotia
saini fomu zake za kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi
ya chama hicho, ambapo aliweza kupata wadhamini zaidi ya 877.

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano
wa Kimataifa na Mbunge wa Jimbo la Mtama, Bernard Membe (katikati)
akizungumza na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), na wananchi
waliofika kumpokea nje ya Ofisi ya CCM Mkoa wa Mbeya jana, baada ya
kuwasili mkoani humo kwa ajili ya kutafuta wadhamini watakaotia saini
fomu zake za kuwania urais katika uchaguzi mkuu ujao kwa tiketi ya chama
hicho, ambapo aliweza kupata wadhamini zaidi ya 877
Post a Comment