MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL, AKUTANA NA WAFANYABIASHARA WA ECG NA AL KAN KUTOKA MISRI, IKULU DAR.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza na Wafanyabiashara wa ECG na Al Kan kutoka nchini Misri,
wakati walipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Julai
29, 2015 kwa mazungumzo. (Picha na OMR).
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwa katika picha ya pamoja na Wafanyabiashara wa ECG AL Kan kutoka
nchini Misri, baada ya kumalizika kwa mazungumzo yao yaliyofanyika
Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Julai, 29, 2015.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza na Baadhi ya Viongozi wa Chama cha Wamiliki wa Mabasi
Tanzania (TABOA) TRA, SUMATRA, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam na Waziri
wa Fedha, wakati walipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam,
leo Julai 29, 2015.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa SUMATRA, TRA, na
Wamiliki wa Mabasi Tanzania TABOA, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, na
Waziri wa Fedha, baada ya kumalizika kwa mazungumzo yao yaliyofanyika
Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam,leo Julai, 29, 2015.
(Picha na OMR)
إرسال تعليق