UVUMI – DIVA AJIWEKA KWA DOGO DOGO




Mtangazaji wa kituo cha Radio Clouds FM, Diva Malinzi aka Diva. 
1544391_666367576747790_1840441572_n
Billnas anye sadikiwa ku date na Diva
Mtangazaji wa kituo cha Radio Clouds FM, Diva Malinzi aka Diva The Boss , hivi karibuni ameachana  na mwadani wake ambaye ni msanii King Crazy GK.kuna uvumi ulionenea kitaani kuwa Diva ana date na up coming artist wa bongo fleva aitwaye Billnas anaye fanya vizuri na ngoma yake ya ”RAHA” ft TID ,Nazizi . Darcityceter tuliamua kumtafuta Billnas kutaka kuthibitisha kama wapo katika mahusiano ,coz mara kadha wanaonekana wakiwa pamoja na  ukaribu wa hali ya juu .
”Sio kweli Diva ana mpenzi wake na mimi nina mpenzi wangu.Ila sisi ni washikaji sana na sio zaidi ya hapo  ,ndio ushikaji na sio zadii ya hapo ”. Billnass

Post a Comment

أحدث أقدم