الصفحة الرئيسيةSIASA Wanachama wawili CUF wapigwa risasi kwenye uandikishaji kwa BVR Hisia يوليو 05, 2015 0 Wanachama wawili wa CUF wamepigwa Risasi na watu wasiofahamika waliojifunika sura zao wakati wa kuandikisha wakupiga kura Makunduchi, Zanzibar. Tukio hilo limetokea jana ambapo majeruhi hao wamelazwa katika Hospital ya Hospitali ya Arahma
إرسال تعليق