Watu nane wafariki dunia na wengine wane kujeruhiwa katika ajali ya gari aina ya Noah iliyokua ikitokea shinyanga kuelekea mwanza.
Ajali
hiyo imetokea jana jioni Wilayani Misungwi Mkoani Mwanza
ambapo mashuhuda wa ajali hiyo wamedai chanzo chake ni mwendo
kasi wa Dereva uliomfanya ashindwe kuimudu gari wakati
akikwepana na lori.
Zaidi, angalia video hapo chini
إرسال تعليق