Breaking News: Nape avuliwa madaraka

_MG_2089
Chanzo: Haji Al Harthy – ‘Facebook page’
Posted Jumatatu, Agosti 17, 2015 (11:42pm)

Katibu wa Idara ya Uenezi ya NEC ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Nape Nnauye amevuliwa cheo hicho. Nafasi yake imechukuliwa na John Chiligati.
Taarifa hii ni kutoka kwenye ‘Mutalemwa Blog’ taarifa kamili kuhusu Nape, zitakuwa kwenye magazeti ya kesho Jumanne, Agosti 18, 2015…InshaAllah.
Watu wengi wanashauku kutaka kujua sababu za kuvuliwa wadhifa huo…wapo wanafikiria kuwa ni kutokana na kauli zake za ujuba na ufedhuli zilizopelekea kudhoofisha CCM.

Post a Comment

Previous Post Next Post