Chanzo: Haji Al Harthy – ‘Facebook page’
Posted Jumatatu, Agosti 17, 2015 (11:42pm)
Katibu wa Idara ya Uenezi ya NEC ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Nape
Nnauye amevuliwa cheo hicho. Nafasi yake imechukuliwa na John Chiligati.
Taarifa hii ni kutoka kwenye ‘Mutalemwa Blog’ taarifa kamili kuhusu
Nape, zitakuwa kwenye magazeti ya kesho Jumanne, Agosti 18,
2015…InshaAllah.
Watu wengi wanashauku kutaka kujua sababu za kuvuliwa wadhifa
huo…wapo wanafikiria kuwa ni kutokana na kauli zake za ujuba na ufedhuli
zilizopelekea kudhoofisha CCM.
إرسال تعليق