DAR yakamilisha rasmi uandikishaji BVR

DSC_0647
Mkurugenzi Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Kailima Ramadhan.
Tume ya Taifa  ya Uchaguzi imetangaza kukamilika kwa zoezi la Uandikishaji Wapiga Kura katika Daftari la Kudumu kwa kutumia mfumo wa BVR Mkoani Dar es Salaam. Kwa mujibu wa  taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa Uchaguzi, Kailima Ramadhani zoezi hilo limefanikiwa kwa kiasi kikubwa kwa kuandikisha wapiga kura 2,845,256 sawa na 101.2%
DAR YAKAMILISHA RASMI UANDIKISHAJI 1
DAR YAKAMILISHA RASMI UANDIKISHAJI  2
DAR YAKAMILISHA RASMI UANDIKISHAJI  3

Post a Comment

Previous Post Next Post