Mkurugenzi Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Kailima Ramadhan.
Tume
ya Taifa ya Uchaguzi imetangaza kukamilika kwa zoezi la Uandikishaji
Wapiga Kura katika Daftari la Kudumu kwa kutumia mfumo wa BVR Mkoani Dar
es Salaam. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Mkurugenzi wa
Uchaguzi, Kailima Ramadhani zoezi hilo limefanikiwa kwa kiasi kikubwa
kwa kuandikisha wapiga kura 2,845,256 sawa na 101.2%
إرسال تعليق