EDWARD LOWASSA AREJESHA FOMU ZA KUOMBA KUGOMBEA URAIS CHADEMA




Mtia nia ya urais kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Waziri Mkuu Mstaafu, Edward Lowassa akikabidhi fomu ya kuomba ridhaa ya chama chake kimteue kugombea nafasi hiyo kwa Mjumbe wa Kamati Kuu ya chama hicho, Prof. Mwesiga Baregu (kushoto) kwenye Makao Makuu ya chama hicho, Dar es Salaam jana. Kulia ni Naibu Katibu Mkuu wa CHADEM. Lowassa alikuwa ni kada wa siku nyingi wa Chama cha Mapinduzi na alijiunga na Chadema hivi karibuni baada ya kuenguliwa na CCM katika mbio za kuwania kuteuliwa kuwa mgombea Urais. 

BOFYA HAPA KUFAHAMU ZAIDI

Post a Comment

أحدث أقدم