Flora amshtaki tena Mbasha akidai kumpa vitisho mara kwa mara!


Mwimba Injili Flora Mbasha na mwandani wake wa zamani, Emmanuel Mbasha.
Brighton Masalu
WAKATI aliyekuwa mumewe akiwa na msala wa kubaka shemejiye mahakamani, mwimba Injili Flora Mbasha amemshtaki tena mwandani wake huyo wa zamani, Emmanuel Mbasha akidai kumpa vitisho mara kwa mara.

Post a Comment

أحدث أقدم