Wananchi wengi tunakubalina kuwa adui
mkubwa wa Tanzania kwa sasa ni ufisadi
ambao ndio umekuwa chanzo kikubwa cha utajirisho wa watu wachache
na huku ukistawisha umaskini kwa wananchi walio wengi. Baadhi ya
wananchi wamekuwa na mawazo kuwa hatuwezi kupambana na ufisadi bila ya kwanza
kuiondoa CCM madarakani kwani kwa maoni yao CCM ndio mfumo wenyewe wa kifisadi.
Lengo langu leo ni kutaka tutafakari
usahihi wa dhana hii katika uhalisia wake ili itusaidie kuchukua hatua sahihi
katika kuung’oa mfumo wa kifisadi nchini.
Humphrey Polepole Aandika Makala Nzito Isemayo "CCM, UKAWA NA KUNG’OA MFUMO WA KIFISADI NCHINI " SOMA HAPA
Unknown
0
إرسال تعليق