Mgombea
wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuliakihutubia wakazi wa
Mbalizi na kuendelea kusisitiza elimu itakuwa bure kuanzia darasa la
kwanza mpaka kidato cha nne,kuongeza maslahi ya walimu pamoja na jeshi
la polisi.
Mgombea
wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuliakihutubia wakazi wa
Mbalizi na kuendelea kusisitiza elimu itakuwa bure kuanzia darasa la
kwanza mpaka kidato cha nne,kuongeza maslahi ya walimu pamoja na jeshi
la polisi.
Mgombea
wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuliakihutubia wakazi wa
Mbalizi na kuendelea kusisitiza elimu itakuwa bure kuanzia darasa la
kwanza mpaka kidato cha nne,kuongeza maslahi ya walimu pamoja na jeshi
la polisi.
Wananchi
waliokusanyika kumsikiliza Mgombea Urais wa CCM Dkt John Magufuli
kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika katika stendi ya mabasi mjini
Mbalizi wakishangilia huku wakipiga makelele kwamba anatosha na anafaa
kuwa Rais na wameahidi kumpigia kura ya ndiyo.
Wafuasi
wa chama cha CCM na wananchi wakiwa wamekusanyika katika stendi ya
mabasi mjini Mbalizi wakimsikiliza mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe
Magufuli,kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni ambapo aliwahutubia na
kuwaomba wampe kura ya ndiyo ili aweze kuwoangoza katika awamu ya tano.
Mgombea
wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwahutubia wakazi wa
Mbalizi kwenye mkutano uiofanyika kwenye stendi ya mabasi ambapo
aliwaambia wananchi wa Mbalizi kumpa kura zote yeye na kuwapa kura
wabunge na madiwani wa CCM ili aweze kufanya nao kazi kwa ufanisi
Wakazi
wa mbalizi wakimsikiliza mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli
alipokuwa akimwaga sera za kuomba ridhaa ya kuiongoza Tanzania katika
kipindi cha awamu ya tano,kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye
kituo cha mabasi Mbalizi.
Maelfu
ya watu wakiwa na kiu kubwa ya kumsikiliza Mgombea Urais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania kwa chama cha CCM mjini Mbalizi.
Wananchi
wa mji wa Chunya mjini wakishangilia ujio wa Mgombea Urais wa CCM Dkt
John Pombe Magufuli katika viwanja vya Saba Saba Chunya mjini kwenye
mkutano wa kampeni,ambapo Magufuli aliwahutubia wananchi hao na kuwaomba
kura ya ridhaa ya kuwaongoza kwa kipindi hiki cha awamu ya tano.
Mgombea
Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha CCM Dkt John
Pombe Magufuli,alipokuwa akiwasili katika kijiji cha Makongorosi
kuwahutubia wananchi katika mkutano wa kampeni.
Wananchi
wa Makongorosi wakimsikiliza kwa makini Mgombea wa Urais kupitia CCM
Dk. John Pombe Magufuli alipokuwa akiwahutubia mjini hapo kwenye mkutano
wa kampeni
Wananchi
wa Makongorosi wakimshangilia Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John
Pombe Magufuli alipokuwa akiwahutubia mjini hapo kwenye mkutano wa
kampeni
Mama akifurahia kumuona Mgombea Urais wa CCM Dkt John Magufuli
Mgombea
wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akisalimiana na wakazi wa
kijiji cha iseche waliojitokeza kwa wingi barabarani kumsalimu alipokuwa
akielekea Chunya kwenye mkutano wa Kampeni
Wananchi wakiwa wamesimama njiani na kuziba barabara wakitaka kumuona mgombea Urais wa CCM Dkt Magufuli na japo awaambie neno.
Wanamsikiliza
Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Makufuli alipokuwa akiwasalimia
wakati akielekea Chunya kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni.
Mwananchi
akifuatilia na kumsikiliza kwa makini mgombea Urais wa CCM Dkt John
Magufuli aliposimama na kuwasalimia wakati akielekea chunya mjini
kuwahutubia wananchi na kunadi sera za chama chake ikiwemo na kuwaomba
ridhaa ya kuwaongoza katika awamu ya tano
Mgombea
Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akisuiriwa kwa hamu na wanachama
na wafuasi wa CCM mjini Makongorosi kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni
Msafara
wa Mgombea Urais wa CCM Dkt Magufuli uipokuwa ukielekea wilaya ya
Chunya kutoka wilaya ya Ileje kuwahutubia wananchi mjini humo
Post a Comment