MAGUFULI AENDELEA NA KAMPENI ZAKE MKOANI MBEYA

 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuliakihutubia wakazi wa Mbalizi na kuendelea kusisitiza elimu itakuwa bure kuanzia darasa la kwanza mpaka kidato cha nne,kuongeza maslahi ya walimu pamoja na jeshi la polisi.
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuliakihutubia wakazi wa Mbalizi na kuendelea kusisitiza elimu itakuwa bure kuanzia darasa la kwanza mpaka kidato cha nne,kuongeza maslahi ya walimu pamoja na jeshi la polisi.
 Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuliakihutubia wakazi wa Mbalizi na kuendelea kusisitiza elimu itakuwa bure kuanzia darasa la kwanza mpaka kidato cha nne,kuongeza maslahi ya walimu pamoja na jeshi la polisi.


Wananchi waliokusanyika kumsikiliza Mgombea Urais wa CCM Dkt John Magufuli kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika katika stendi ya mabasi mjini Mbalizi wakishangilia huku wakipiga makelele kwamba anatosha na anafaa kuwa Rais na wameahidi kumpigia kura ya ndiyo.

Wafuasi wa chama cha CCM na wananchi wakiwa wamekusanyika katika stendi ya mabasi mjini Mbalizi wakimsikiliza mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli,kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni ambapo aliwahutubia na kuwaomba wampe kura ya ndiyo ili aweze kuwoangoza katika awamu ya tano.
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akiwahutubia wakazi wa Mbalizi kwenye mkutano uiofanyika kwenye stendi ya mabasi ambapo aliwaambia wananchi wa Mbalizi kumpa kura zote yeye na kuwapa kura wabunge na madiwani wa CCM ili aweze kufanya nao kazi kwa ufanisi
Wakazi wa mbalizi wakimsikiliza mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli alipokuwa akimwaga sera za kuomba ridhaa ya kuiongoza Tanzania katika kipindi cha awamu ya tano,kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye kituo cha mabasi Mbalizi.
Maelfu ya watu wakiwa na kiu kubwa ya kumsikiliza Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa chama cha CCM mjini Mbalizi.

Wananchi wa mji wa Chunya mjini wakishangilia ujio wa Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli katika viwanja vya Saba Saba Chunya mjini kwenye mkutano wa kampeni,ambapo Magufuli aliwahutubia wananchi hao na kuwaomba kura ya ridhaa ya kuwaongoza kwa kipindi hiki cha awamu ya tano.


Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha CCM Dkt John Pombe Magufuli,alipokuwa akiwasili katika kijiji cha Makongorosi kuwahutubia wananchi katika mkutano wa kampeni.

Wananchi wa Makongorosi wakimsikiliza kwa makini  Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli alipokuwa akiwahutubia mjini hapo kwenye mkutano wa kampeni
Wananchi wa Makongorosi wakimshangilia Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli alipokuwa akiwahutubia mjini hapo kwenye mkutano wa kampeni
Mama akifurahia kumuona Mgombea Urais wa CCM Dkt John Magufuli 
Mgombea wa Urais kupitia CCM Dk. John Pombe Magufuli akisalimiana na wakazi wa kijiji cha iseche waliojitokeza kwa wingi barabarani kumsalimu alipokuwa akielekea Chunya kwenye mkutano wa Kampeni
Wananchi wakiwa wamesimama njiani na kuziba barabara wakitaka kumuona mgombea Urais wa CCM Dkt Magufuli na japo awaambie neno.
Wanamsikiliza Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Makufuli alipokuwa akiwasalimia wakati akielekea Chunya kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni.
Mwananchi akifuatilia na kumsikiliza kwa makini mgombea Urais wa CCM Dkt John Magufuli aliposimama na kuwasalimia wakati akielekea chunya mjini kuwahutubia wananchi na kunadi sera za chama chake ikiwemo na kuwaomba ridhaa ya kuwaongoza katika awamu ya tano
Mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli akisuiriwa kwa hamu na wanachama na wafuasi wa CCM mjini Makongorosi kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni
Msafara wa Mgombea Urais wa CCM Dkt Magufuli uipokuwa ukielekea wilaya ya Chunya kutoka wilaya ya Ileje kuwahutubia wananchi mjini humo



Post a Comment

أحدث أقدم