News Live Update:- Kikwete Aunguruma Asema "Kama ni kwenye mpira tunafunga magoli wenyewe wamesimama wanatutazama alafu watakuja kujiuliza tumefungaje" - Ungana Nasi Ufahamu Kinachoendelea Hapa

JK- 'Kama ni kwenye mpira tunafunga magoli wenyewe wamesimama wanatutazama alafu watakuja kujiuliza tumefungaje'

JK -'Tumejipanga kwa hoja,tunazo za kutosha za kuzungumzia uzuri wa CCM,maendeleo yanaonekana na dunia nzima inajua

No comments:

Post a Comment