Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini hati ya Muswada wa Sheria ya
Mafuta na Gesiasilia Jumanne, Agosti 4, 2015 katika Ukumbi mpya wa
Ikulu, Dar Es Salaam akishuhudiwa na Waziri wa Nishati na Madini Mhe
George Simbachawene na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Mhandisi Ngosi Mwihava.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini hati ya Muswada wa Usimamizi wa
Mapato ya Mafuta na Gesiasilia Jumanne, Agosti 4, 2015 katika Ukumbi
mpya wa Ikulu, Dar Es Salaam akishuhudiwa na Waziri wa Nishati na Madini
Mhe George Simbachawene na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Mhandisi Ngosi
Mwihava.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akigonga muhuri wake hati ya Muswada wa
Sheria ya Mafuta na Gesiasilia Jumanne, Agosti 4, 2015 katika Ukumbi
mpya wa Ikulu, Dar Es Salaam akishuhudiwa na Waziri wa Nishati na Madini
Mhe George Simbachawene na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Mhandisi Ngosi
Mwihava
Rais Kikwete akipeana mikono na Waziri wa Nishati na Madini Mhe George
Simbachawene baada ya kuweka saini kuridhia Muswada wa Sheria ya Mafuta
na Gesiasilia Jumanne, Agosti 4, 2015 katika Ukumbi mpya wa Ikulu, Dar
Es Salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini kuridhia Muswada wa
Usimamizi wa Mapato ya Mafuta na Gesiasilia Jumanne, Agosti 4, 2015
katika Ukumbi mpya wa Ikulu, Dar Es Salaam akishuhudiwa na Waziri wa
Fedha Mhe. Saada Mkuya na Katibu Mkuu wizara hiyo Dkt. Servacius
Likwelile
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Waziri wa Fedha Mhe. Saada
Mkuya baada ya kuweka saini kuridhia Muswada wa Usimamizi wa Mapato ya
Mafuta na Gesiasilia Jumanne, Agosti 4, 2015 katika Ukumbi mpya wa
Ikulu, Dar Es Salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Katibu Mkuu Waziri wa
Fedha Dkt. Servacius Likwelile baada ya kuweka saini kuridhia Muswada wa
Usimamizi wa Mapato ya Mafuta na Gesiasilia Jumanne, Agosti 4, 2015
katika Ukumbi mpya wa Ikulu, Dar Es Salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiweka saini kuridhia Muswada wa Tume ya
Walimu Jumanne, Agosti 4, 2015 katika Ukumbi mpya wa Ikulu, Dar Es
Salaam akishuhudiwa na Dkt. Shukuru Kawambwa ambaye ni Waziri wa Elimu
na Mafunzo ya Ufundi na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Profesa Sifuni
Mchome
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Waziri wa Elimu na Mafunzo
ya Ufundi Dkt. Shukuru Kawambwa baada ya kuweka saini kuridhia Muswada
wa Tume ya Walimu Jumanne, Agosti 4, 2015 katika Ukumbi mpya wa Ikulu,
Dar Es Salaam kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Profesa Sifuni
Mchome
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipeana mikono na Katibu Mkuu wa Wizara ya
Elimu na Mafunzo ya Ufundi Profesa Sifuni Mchome baada ya kuweka saini
kuridhia Muswada wa Tume ya Walimu Jumanne, Agosti 4, 2015 katika Ukumbi
mpya wa Ikulu, Dar Es Salaam.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete, Makamu wa Rais Dkt. Mohamed Gharib Bilali,
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue katika picha ya pamoja na
Mheshimiwa George Simbachawene, Waziri wa Nishati na Madini, Mheshimiwa
Saada Mkuya, Waziri wa Fedha na Mhe. Dkt. Shukuru Kawambwa, Waziri wa
Elimu na Mafunzo ya Ufundi baada ya hafla ya kuweka saini na kuridhia
miswada ya Sheria ya Mafuta na Gesiasilia, Muswada wa Uwazi na
Uwajibikaji, Muswada wa Usimamizi wa Mapato ya Mafuta na Gesiasilia,
Muswada wa Masoko ya Bidhaa na Muswada wa Tume ya Walimu.
إرسال تعليق