Baada ya siku 40: sura ya mtoto wa Diamond na Zari ndio hii imeonyeshwa kwenye picha !




Zimeshatimia siku 40 toka mtoto wa Diamond Platnumz na Zarinah Hassan azaliwe, anaitwa Tiffah…. ambapo siku hii kubwa ilikumbukwa na nyumbani kwa Diamond watu mbalimbali wakaalikwa kama ilivyo kwenye utaratibu.
T2
T3
T1Picha zote 3 za juu ni kutoka kwenye Instagram page ya @8020fashions
T6
T7Ustaa wa Diamond Platnumz na Zari umeshawishi mpaka kampuni kubwa za kibiashara kuingia mkataba wa malipo kutumia jina na picha za Tiffah kibiashara ambapo mtoto huyu ambaye ndio kwanza katimiza siku 40 za kuzaliwa, tayari ni balozi wa maduka ya nguo za watoto Dar es salaam lakini pia picha yake ya kwnaza imeonyeshwa ikiambatana na udhamini wa benki.
t9
t8
Hapa chini kuna video fupi za Instagram Zari akitunzwa…

Post a Comment

أحدث أقدم