Mgombea
urais wa Tanzania kupitia CCM, akijinadi kwa wananchi kwenye mkutano wa
kampeni katika Uwanja wa Gymkhana mjini Bukoba. Dk Magufuli amesema
kuwa yeye alipoamua kugombea urais hakufuata fedha bali kufanya kazi
tu.(PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG).
Wananchi wakishangilia hotuba ya Dk Magufuli mjini Bukoba jana.
Mgombea
urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk. John Magufuli, akiwapungia mikono
kuwaaga wananchi baada ya kujinadi katika mkutano wa kampeni katika
Jimbo la Muleba Kusini
Dk
Magufuli akiwapungia mkono wananchi akiwemo Kamanda wa Poilis wa zamani
wa Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Alfred Tibaigana katika Kijiji cha
Buganguzi, Muleba Kusini
Dk Magufuli akiomba kupigiwa kura Muleba Kusini katika Uchaguzi Mkuu Oktoba 25 mwaka huu.
Mtoto akipeperusha bendera ya Taifa katika mkutano wa kampeni za DK Magufuli Muleba Kusini.
Dk Magufuli akiifariji
familia ya aliyekuwa mgombea udiwani Kata ya Muleba, Oswald ambaye
aloifariki dunia katika ajali ya pikipiki.
Mgombea urais wa Tanzania
kupitia CCM, Dk John Magufuli akimfariji mjane wa aliyekuwa mgombea
udiwani Kata ya Muleba, Oswaid Rwakabwa, Georgia alifariki dunia kwa
ajali ya pikipiki mjini Muleba, Mkoa wa Kagera. Dk Magufuli aliifariji
familia hiyo kabla ya kwenda kwenye kampeni katika Jimbo la Muleba
Kusini.
Mgombea
urais wa Tanzania kupitia CCM, Dk John Magufuli akimfariji mjane wa
aliyekuwa mgombea udiwani Kata ya Muleba, Oswaid Rwakabwa, Georgia
alifariki dunia kwa ajali ya pikipiki mjini Muleba, Mkoa wa Kagera. Dk
Magufuli aliifariji familia hiyo kabla ya kwenda kwenye kampeni katika
Jimbo la Muleba Kusini
Wananchi wakishangilia baada ya kumuona Dk Magufuli akiwasili katika mji wa Kamachumu Muleba Kaskazini kuendelea na kampeni
Dk Magufuli akijinadi kwa wananchi katika Mji wa Kamachumu Muleba Kaskazini
Mmoja wa wanachama wa upinzania akijitangaza kujiunga na CCM KATIKA MKUTANO WA KAMPENI ZA CCM.
Dk Magufuli akiomba kura kwa wananchi katika Kata ya Nshamba Muleba Kusini
Wananchi wakifurahishwa na ujio wa Dk Magufuli katika Kata ya Kamachumu, Muleba Kaskazini.
Mgombea ubunge Jimbo la Muleba Kaskazini kijinadi kwa wananchi
Dk Magufuli akijinadi kwa wananchi Muleba Kaskazini.
Mmoja wa wakazi wa Kamachumu akisikiliza kwa makini wakati Dk Magufuli akihutubia na kujinadi kuomba kura kwa wananchi.
Wananchi wakimsikiliza kwa makini Dk Magufuli akijinadi kwa wananchi eneo la Kemondo.
Ni
furaha iliyoje kwa wananchi hawa baada ya kumuona Dk Magufuli
alipowasili katika mkutano wa kampeni katika Kata ya Marukucha Bukoba
Vijijini
Mwakilishi wa watu wenye ulemavu kwenye kampeni za CCM, Amon Mpanju akielezea wasifu wa Dk Magufuli.
Dk Magufuli akijinadi kwa wananchi katika Kata ya Maruku, Bukoba Vijijini.
Wananchi wakisikiliza kwa makini wakati Dk Magufuli akielezea sera za CCM
Wananchi wakishangilia hotuba ya Dk Magufuli.
Dk.Magufuli akimnadi Mgombea ubunge Jimbo la Bukoba Vijijini, Jasson Rweikiza wakati wa mkutano wa kampeni katika Jimbo hilo.
Wananchi wakishangilia wakati Dk Magufuli akiingia kwenye Uwanja wa Gymkhana mjini.
Chege na Temba wakitumbuiza katika mkutano huo
Yamoto Band ikitumbuiza
FD Q akitumbuiza.
Mgombea
ubunge jimbo la Muleba Kaskazini, Charles Mwijage akielezea umuhimu wa
wananchi kumpigia kuraDk Magufuli. Wengine ni wagombea ubunge viti
maalumu kupitia Mkoa wa Kagera. Kulia ni Halima Bulembo.
Kundi la Diamond likitumbuiza wakati wa mkutano huo.
Dk Magufuli akisalimiana na msanii wa muziki wa kizazi kipya Abdul Naseeb Diamond Platnumz
Mgombea ubunge Jimbo la Bukoba Mjini, Khamis Kagasheki akijinadi kwa wananchi wakati wa mkutano wa kampeni mjini Bukoba
Mgombea urais wa Tanzania kupitia CCM akijinadi kwa wananchi, Dk John Magufuli kwenye Uwanja wa Gymkhana mjini Bukoba
إرسال تعليق