Mgombea
ubunge wa jimbo la Lushoto kwa tiketi ya Chadema, mkoani Tanga, Mohamed
Mtoi amefariki baada ya gari lake kupinduka wakati akitokea kwenye
kampeni jana jioni.
Akithibitisha
taarifa hizi, Katibu wa Chadema wilayani Lushoto, Abdalah “Dula”
Dhahabu amesema ajali hiyo imetokea jana jioni wakati mgombea huyo
akitokea Mlola alipokuwa anafanya kampeni kuwania kiti hicho.

إرسال تعليق