Mgombea
Urais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein. akisalimiana na Viongozi wa CCM
alipowasili katika viwanja vya garagara mtoni kwa ajili ya kuendelea na
mikutano yake ya kampeni Zanzibar kuomba ridhaa za Wananchi kumchagua
tena kuongoza Zanzibar.
Mgombea
Urais wa Zanzibar Dk Ali Mohameid Shein, akisalimiana na Mama Fatma
Karume alipowasili katika viwanja vya garagara mtoni kwa ajili ya
mkutano wake wa kampeni.
Mwenyekiti
wa CCM Mkoa wa Magharibi Ndg Yussuf Mohammed akizungumza na Wananchi na
WanaCCM katika viwanja vya garagara mtoni wakati wa mkutano wa kampeni
ya Mgombea Urais wa Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein, na kuwatana Wananchi
kumpigia kura Dk Shein, ili kuzidi kuleta maendeleo katika Visiwa vya
Unguja na Pemba katika kipindi cha miaka mitano ijayo.
إرسال تعليق