Mwili wa aliyekuwa Waziri Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa
Umma na Mbunge wa Ulanga Mashariki, Celina Ompeshi Kombani umerejeshwa
nchini hii leo na kupokelewa na watu mbalimbali wakiwepo Viongozi wa
Serikali, Ndugu jamaa na marafiki.

Viongozi
mbalimbali wakiwa katika uwanja wa ndege wa Mwalimu Julias Nyerere
jijini Dar es Salaam tayari kwa kuupokea mwili wa marehemu Celina
Kombani. SOURCE: KAJUNASON BLOG
إرسال تعليق