Waziri
wa Fedha Saada Mkuya Salum akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi
wa Serikali na wajumbe kutoka Benki ya Exim ya Korea baada ya kusaini hati ya mkataba
wa makubaliano ya mkopo wa Dola za Kimarekani milioni 91.032 ambazo ni sawa na
Sh. Bilioni 154.39 za Kitanzania zilizotolewa na Benki ya Exim ya Korea kwa
ajili ya ujenzi wa daraja la Salenda leo jijini Dar es salaam.
(Picha na Eleuteri Mangi-MAELEZO)
Post a Comment