Serikali yasaini hati ya makubaliano ya ujenzi wa daraja la Salenda

Waziri wa Fedha Saada Mkuya Salum akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa Serikali na wajumbe kutoka Benki ya Exim ya Korea baada ya kusaini hati ya mkataba wa makubaliano ya mkopo wa Dola za Kimarekani milioni 91.032 ambazo ni sawa na Sh. Bilioni 154.39 za Kitanzania zilizotolewa na Benki ya Exim ya Korea kwa ajili ya ujenzi wa daraja la Salenda leo jijini Dar es salaam.

(Picha na Eleuteri Mangi-MAELEZO)

Post a Comment

أحدث أقدم