Maelfu
ya WanaCCM,Wananchi na wapenda amani wakisikiliza hotuba ya ufungaji wa
kampeni za CCM iliyotolewa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekti wa
Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed
Shein katika uwanja wa Demokrasia Kibandamaiti Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.]
Maelfu
ya WanaCCM,Wananchi na wapenda amani wakisikiliza hotuba ya ufungaji wa
kampeni za CCM iliyotolewa leo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekti wa
Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed
Shein katika uwanja wa Demokrasia Kibandamaiti Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.]
Mke
wa Rais wa Kwanza wa Zanzibar Mama Fatma Karume alipokuwa akiwataka
wananchi na WanaCCM kukichagua Chama cha Mapinduzi ambacho ndio
kinachoweza kuiongoza Dola katika mkutano wa kufunga kampmeni za CCM leo
katika uwanja wa Kibandamaiti Mjini Zanzibar,[Picha na Ikulu.]
Makamo
wa Pili wa Rais wa Zanzibar pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa
Balozi Seif Ali Iddi akiwasalimia wanachama cha Mapinduzi CCM na
Wananchi wapenda amani leo katika uwanja wa kibandamaiti Mjini Zanzibar
katika mkutano wa kufunga kampeni za CCM,[Picha na Ikulu.]
Maelfu ya WanaCCM,Wananchi na wapenda Amani wakimsikiliza Rais
wa Zanzibar na Mwenyekti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti
wa CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa hotuba ya ufungaji wa kampeni za CCM aliyoitolewa leo katika uwanja wa Demokrasia Kibandamaiti Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.]
Rais
Mstaafu wa Jamhuri ya Muunfgano wa Tanzania Mzee Ali Hassan Mwinyi
alipopanda katika jukwaa wakati alipowasalimia maelfu ya WanaCCM,Wananchi
na wapenda Amani leo katika mkutano wa kufunga kampeni za CCM
uliofanyika katika uwanja wa Demokrasia Kibandamaiti Mjini Unguja,[Picha
na Ikulu.]
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekti wa Baraza la Mapinduzi pia Makamo Mwenyekiti wa
CCM Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akiteta jambo na Mgombea
mwenza wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu
Hassan leo wakati wamkutano wa kufunga kampeni za CCM uliofanyika katika uwanja wa Demokrasia Kibandamaiti Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.]







إرسال تعليق