Siku
ya Jana Tarehe 12 October 2015 Mgombea mwenza Kutoka Chama Cha
Mapinduzi CCM. Mama Samia Salum Suluhu alitembelea Geita Mjini na
kuapata mapokezi ya kimapinduzi. Wanachama wa vyama vya Upinzani
wamemkabidhi kadi za vyama vyao na kujiunga na CCM.
إرسال تعليق