Mhe.
Edward Ngoyai Lowassa akiwasili katika viwanja vya Shule ya msingi
Tunduma leo Jumamosi tarehe 17/10/2015, ikiwa ni mwendelezo wa kampeni
zake lakini mkutano huo uliahirishwa baada ya kutokea matatizo ya
kiufundi ambapo vipasa sauti vilivyoandaliwa kwa ajili ya kutumika katika mkutano huo kugoma kutoa sauti hata
hivyo mafundi walifanya jitihada mbalimbali lakini hazikuzaa matunda na
ndipo ililazimu mwenyekiti wa CHADEMA Taifa Mhe. Freeman Mbowe
akaahirisha mkutano huo, hadi kesho Jumapili tarehe 18/10/2015 majira ya saa 3 asubuhi.



CHANZO: CHADEMA MEDIA

إرسال تعليق