![]() |
| Mbunge anayemaliza muda wake,Philemoni Ndesamburo akimuombea kura mgombea Ubunge wa jimbo la Moshi mjini Jafary Michael (Chadema) katika mkutano uliofanyika katika viwanja vya Manyema mjini Moshi. |
![]() |
| Baadhi ya wakazi wa Moshi waliojitikeza katika mkutano huo. |

![]() |
| Makamu Mwenyekiti wa Chadema taifa, Zanzibar Said Issa Mohamed akiwahutubia wakazi wa mji wa Moshi waliohudhuria katka mkutano huo. |
![]() |
| Baadhi ya wakazi wa mji wa Moshi. |
![]() |
| Mgombea Udiwai kata ya Pasua,Mkome Mkalakala. |
![]() |
| Mgombea Udiwani kata ya Majengo, Mwalimu Minja. |
![]() |
| Mgombea Udiwani kata ya Rau, Peter Kimaro. |
![]() |
| Mgombea Udiwani kata ya Miembeni, Mbonea Mshana. |
![]() |
| Mgombea Udiwani kata ya Longuo, Raymond Mboya. |
![]() |
| Mgombea Udiwani kata ya Ngambo, Genesis Kihwelu . |
![]() |
| Mgombea Udiwani kata ya Mji Mpya, Abuu Shayo. |
![]() |
| Mgombea Udiwani kata ya Njoro,Jomba Khoi. |
![]() |
| Baadhi ya Wagombea wa nafasi ya Udiwani katika kata mbali mbali ndani ya jimbo la Moshi mjini wakifuatilia mkutano huo akiwemo mgombea Udiwani kata ya Ngangamfumuni.Anthony. |
![]() |
| Makamu Mwenyekiti wa Chadema taifa,upande wa Zanzibar,Said Issa Mohamed akitoa maelekzo namna ya kupiga kura na kukunja karatasi mara baada ya kupiga kura yako, |
![]() |
| Aliyewahi kuwa Mstahiki Meya wa Manispaa ya Moshi,Lameck Kaayaa aliyekihama chama cha Mapinduzi hivi karibuni akiwa katika mkutano huo. |

![]() |
| Umati wa watu uliojitokeza katika mkutano huo.(Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini). |



















Post a Comment