Picha,Agnes kaweka picha ya tbt akiwa kwenye kitanda cha Tekno,ni baada ya jamaa kusema hawajawahi kuwa na mahusiano.


agnse 12
Producer na msanii kutoka Nigeria Tekno Miles anayefanya vizuri na wimbo wake wa Duro amekanusha kuwa aliwahi kuwa na mahusiano na video queen kutoka Tanzania ‘Agnes Masogange’.

Tekno amongelea tetesi hizo nakusema ” I Never had sex with Agnes” .
Tekno anasema walikuwa marafiki zaidi instagram na walikutana Nigeria ila hawajawahi kuwa wapenzi,
Agnes aliweka picha akiwa kwenye kitanda cha Tekno na kuandika “Nimependa vitanda 😂throwback cjui nahii ni Photoshop
tekno noma

Source ;Ala za Roho.

Post a Comment

أحدث أقدم