Sad News: Aliyekuwa Waziri wa Viwanda na Biashara, Mf Abdalah Kigoda Afariki Dunia

 


Waziri  wa  Viwanda  na  Biashara, mh. Abdalah Kigoda  amefariki  dunia leo  majira  ya  saa  kumi  jioni  nchini  India  alikokuwa  amelazwa  kwa  matibabu.

Taarifa  kwa  kina  itakuijia  hivi  punde

Post a Comment

أحدث أقدم