Aliyekuwa Mbunge wa Ludewa kwa tiketi ya CCM, Deogratias Filikunjombe, enzi za uhai wake.
Mke
wa marehemu Deogratias Filikunjombe, Sarah Filikunjombe (kushoto)
akilia kwa uchungu baada ya kupata tarifa za kifo cha mumewe.

Chopa iliyosababsha kifo cha Filikunjombe, Capt. William Silaa na watu wengine wawili.
Mbunge wa Ludewa Mhe. Deogratias Haule
Filikunjombe amefariki dunia katia ajali ya Chopa katika hifadhi ya
wanyama ya Selous, pamoja na rubani Kepteni William Silaa mfanyakazi wa
Halmashauri ya Wilaya ya Ludewa.
Wengine waliofariki kwenye ajali hiyo ni
Vitalis Blanka haule na Ofisa Tawala wa Wilaya ya Tarime, Bw. Egdi
Mkwera ambaye alikuwa mtaalam wa mifugo.
PICHA: DENIS MTIMA/GPL NA MTANDAO






Post a Comment