Album ya nane ya Staa wa R&B na Pop, Rihanna inakaribia kutoka, Rihanna ameachia Cover la Album hiyo ambayo ameipa jina la ‘Anti ‘
Wakati wa Private party iliyoandaliwa kwa ajili ya kuachia Cover la Album hiyo, Rihanna amesema “I fell in love with it because I felt like there was another spirit, another layer to the art,” amedai hiyo ndio Cover ya Album aliyoipenda zaidi kuliko zote alizowahi kufanya.

Tayari ameachia nyimbo tatu zitakazo kuwepo kwenye Album hiyo
ikiwemo “FourFiveSeconds,” “American Oxygen,” and “Bitch Better Have My
Money.” Kanye West ndio Producer mkuu na kuna wimbo amemshirikisha J
cole japo hajautaja.
Post a Comment