Video: Rihanna atangaza jina la Album yake Mpya, aachia na Cover yake

Album ya nane ya Staa wa R&B na Pop, Rihanna  inakaribia kutoka, Rihanna ameachia Cover la Album hiyo ambayo ameipa jina la ‘Anti ‘
Wakati wa Private party iliyoandaliwa kwa ajili ya kuachia Cover la Album hiyo, Rihanna amesema “I fell in love with it because I felt like there was another spirit, another layer to the art,” amedai hiyo ndio Cover ya Album aliyoipenda zaidi kuliko zote alizowahi kufanya.
Anti

Tayari ameachia nyimbo tatu zitakazo kuwepo kwenye Album hiyo ikiwemo  “FourFiveSeconds,” “American Oxygen,” and “Bitch Better Have My Money.” Kanye West ndio Producer mkuu na kuna wimbo amemshirikisha J cole japo hajautaja.

Post a Comment

أحدث أقدم