Jumamosi ya tarehe 10, October 2015 ile show iliyokuwa ikisubiriwa
kwa hamu ‘Instagram Retail & Fashion Show’ iliyoandaliwa Anastazia
Oswald ambaye ni designer wa mitindo mbalimbali za mavazi kutoka hapa
home Tz, itafanyika ndani ya Millenium Tower ( Mzalendo Pub). Event
itaanza saa tano asubuhi kwa mtonyo wa buku 3000/= tu! na Fashion Show
itaanza saa kumi na mbili, kwa shilingi buku 15,000/= kuta kuwa na
mastaa kibao ikiwa ni pamoja na Millard Ayo.Offer mbalimbali zitolewa, mshindi wa Bronze ataibuka na 1 Free Copy ya Baabkubwa Magazine , mshindi wa Slver atapewa Copy 1 ya Baabkubwa Magazine, Lingerie 1 na Boxer 1, & mshinda wa Gold atapata vyote pamoja na Lunch with a Cellebs. Unakosaje!!!!!!
إرسال تعليق