Jina la Leonardo DiCaprio si geni kwa mashabiki wanaopenda kuangalia movie, ni kati ya waigizaji wakubwa kwenye industry hiyo.
Mbali ya kipaji chake cha kuigiza pia mashabiki wake wanamfahamu kama
mmoja wa mastaa ambaye mpaka sasa hajaoa licha ya umri wake kumruhusu.
Kwa miaka mingi DiCaprio amekuwa na uhusiano na wasichana mbalimbali maarufu wakiwemo wanamitindo kutoka sehemu mbalimbali.
Hawa ni wasichana 25 ambao walikuwahi kuwa na uhusiano na staa huyo wa Hollywood.
إرسال تعليق