List ya rappers wakali duniani ina hawa kumi, hakuna 2 Pac wala Kanye West.. !!




Wakati mwingine unawaweza kujiuliza kwamba inakuwaje mpaka fulani anakosa kwenye list ??!! Ishu ni VIGEZO na MASHARTI mtu wangu !!
Watu wa Billboard wametoa list ya wakali 10 ambao wameingia kwenye orodha ya rappers wakali waliowahi kutokea duniani… japo wamejitetea kuhusu vigezo vyao kwamba ili mkali wa rap aingie kwenye list yao lazima viangaliwe vigezo fulani.
Lakini watu wengi wamekosoa hii list ambapo wakongwe kama Marehemu 2 Pac, Kanye West na Dr. Dre hawajatajwa !!
List yote hii hapa kuanzia wa 10 mpaka namba moja.
List II
Lakini kwenye utetezi wao Billboard wenyewe walitoa sentensi hizi.
Rappers II
U

Post a Comment

Previous Post Next Post