Wema Sepetu Ashtua Watu Aandika Ujumbe Mzito...Adai Siku zake za Kifo Zimekaribia

Baada ya Wema Sepetu Kutoa Misaada kwa Watoto wa Yatima wa Kituo cha Good Hope Orphanage in Usa-River Arusha..Aliandika Maneno haya kwa Uchungu kwenye ukurasa wake wa Instagram:

"Kumbuka kwamba kuna kifo... Iko siku utaitwa Marehemu.... Put that in your head... Im thinking my day is soon.... Alhamdulillah for everything tho...."

Je Unadhani Kwanini Kaandika Hivyo ?

Post a Comment

Previous Post Next Post