Video: sababu za Vanessa Mdee kutoa machozi kwenye party ya Wema Sepetu



V Money au Vanessa Mdee alikua miongoni mwa mastaa wa Tanzania walioalikwa kwenye party ya birthday ya Wema Sepetu jumapili ya November 2 2015 lakini ghafla katikati ya party akaanza kutoa machozi, tazama hapa chini ilivyokua…

Post a Comment

Previous Post Next Post