Mwanamuziki wa Dansi Patcho Mwamba akiwa anaimba mbele ya washabiki wake waliouthuria onyesho la bendi hiyo lililofanyika ndani ya ukumbi wa Triple A uliopo ndani ya jiji la Arusha.
Wanenguaji wa bendi ya FM Academia wakifanya mambo ndani ya ukumbi wa Triple A uliopo ndani ya jiji la Arusha.
Mashabiki wa bendi ya FM Academia wakicheza nyimbo ya heshima kwa wanawake iliyokuwa ikipigwa bendi hiyo.
Mashabiki wa FM Academia wakiwa waangalia show ya nguvu iliyokuwa inadondoshwa na bendi hiyo.
Mwanamuziki wa Kingombe Blaise akiwa na mmoja mashabiki wake waliohudhuria show hiyo.
Mashabiki wa bendi ya  FM Academia wakiwa wanaendelea kucheza sebene la nguvu lilokuwa likidondoshwa na bendi hiyo.(Picha zote na Woinde Shizza wa libeneke la kaskazini blog)