Aliyekua mgombea Urais kupitia tiketi ya CHADEMA 2015 Edward Lowassa
aliyatoa haya maneno mbele ya Wananchi wa Arusha kwenye kampeni za
ubunge ambapo Godbless Lema anagombea ubunge wa Arusha mjini, Lowassa
alisema bado ana imani siku moja ataingia Ikulu, bonyeza play kwenye hii
video hapa chini kumsikiliza.
إرسال تعليق