IKULU:RAIS DK JOHN MAGUFULI AONGOZA KIKAO CHA KWANZA CHA BARAZA LA MAWAZIRI IKULU, DAR ES SALAAM

post-feature-imageRais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiongoza kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu jijini Dar es salaam Alhamisi tarehe 17, 2015. Kulia kwake ni Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan na kushoto kwake ni Waziri Mkuu Mhe Majaliwa Kassim Majaliwa. Kikao hicho ni cha kwanza kufanyika tangu Rais Magufuli atangaze Baraza la Mawaziri la Serikali ya Awamu ya Tano wiki iliyopita. Picha na IKULU

Post a Comment

Previous Post Next Post