Ndugu zangu,
Akina Dr
Mwaka wako wengi. Watu wetu wanateseka. Wanadhulumiwa pia kidogo walicho
nacho. Aina hii ya utapeli inakomaa pia kwa vile matapeli hawa wana
nguvu ya fedha. Wanajitangaza sana na hata wana uwo wa kununua vipindi
kwenye televisheni na radio. Nyingi ya tiba wanazotangaza wana uwezo
nazo ni abrakadabra tu. Mamlaka husika ziangalie kwa haraka namna ya
kuwadhibiti. Na kuna hawa ' manabii wa siku za mwisho'. Ni janga.
Wasicheleweshwe.
Maggid.(P.T)
إرسال تعليق