Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akisalimiana na Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Mheshimiwa Benjamin
William Mkapa. Rais Dkt. Magufuli alikwenda kumsalimia Rais mstaafu
Mkapa nyumbani kwake Masaki jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli
akiagana na Rais Mstaafu wa Awamu ya Tatu Mheshimiwa Benjamin William
Mkapa. Rais Dkt. Magufuli alikwenda kumsalimia Rais mstaafu Mkapa
nyumbani kwake Masaki jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Picha na
IKULU.
Post a Comment