Mshambuliaji Mbwana Aly Samatta wa Tanzania na klabu ya TP Mazembe ameshinda Tuzo ya Mchezaji bora anayechea soka barani Afrika
na kuwamwaga Baghdad Boundjah (Algeria/: Etoile du Sahel) na Robert
Kidiaba (DR Congo/ TP Mazembe) Usiku huu mjini Abuja, Nigeria.
Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta (kushoto)
akiwa mshambuliajinwa Gabon, Pierre-Emerick Emiliano François Aubameyang
katika ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa mjini Abuja, Nigeria usiku huu
wakati hafla ya Tuzo za Wachezaji Bora wa Shirikisho la Soka Afrika
(CAF) mwaka 2015
إرسال تعليق