
Alikiri
kuyatumia kwa mwaka na nusu na kwamba ameacha huku akiahidi maisha
mapya na kupendeza zaidi akiwa tena chini ya uongozi wa label ya MDB.
Rapper Juma Nature ametoa maoni yake pia kuhusiana na matumizi ya madawa hayo.
“Kuna mambo ambayo nikijiuliza jibu sipati hivi ni kweli kuna wasanii
wanakula mambo hivi, mbona sisi uhuni tumepitia lakini lakaya hii
nimpya,” aliandika kwenye Instagram.
“Punguzeni kuiga wadogo zng jamii inawategemea…maana hatatukisema
tuwaombeee kazi bure mtarudia tu! Kwani huyo anayewauzia anawashikia
bastora ndg zng? Misijapendezwa namichongo famfa kujiendekeza banaaaaa,”
aliongeza.
Matumizi ya madawa ya kulevya kwa wasanii yamekuwa hadithi isiyoisha
huku Chidi Benz na Ray C wakiwa wahanga waliotawala zaidi headlines kwa
sasa.
Post a Comment