Klabu ya Simba SC imekamilisha usajili wa kiungo Mohamed Ibrahim kutoka Mtibwa Sugar

Klabu ya Simba SC imekamilisha usajili wa kiungo Mohamed Ibrahim kutoka klabu ya Mtibwa Sugar ya Morogoro kwa mkataba wa miaka miwili.
IMG-20160618-WA0010
Mohamed Ibrahim anakuwa mchezaji wa nne kusajiliwa Simba msimu huu baada ya kuwasajili nyota mwingine kutoka Mtibwa Sugar Muzamir Yassin nja wachezaji wengine wawili kutoka Mwadui FC Jamal Mnyate na Emanuel Semwanza.

No comments:

Post a Comment