Klabu ya Simba SC imekamilisha usajili wa kiungo Mohamed Ibrahim
kutoka klabu ya Mtibwa Sugar ya Morogoro kwa mkataba wa miaka miwili.

Mohamed Ibrahim anakuwa mchezaji wa nne kusajiliwa Simba msimu huu baada ya kuwasajili nyota mwingine kutoka Mtibwa Sugar Muzamir Yassin nja wachezaji wengine wawili kutoka Mwadui FC Jamal Mnyate na Emanuel Semwanza.

إرسال تعليق